download 2 2

Romeo

&

Intro

Lala lala lalalala lalala

Lala lala lalalala lalala

Ah na let me hear you say

If you feel what i feel let me hear you sing

Lala lala lalalala lalala

Mmh

Lala lalala S2kizzy Baby lala lalala

Verse 1:Darassa

Hisia bhana Ukizilazimisha

Unaweza kuingia mlangoni ukatokea kwenye Dirisha

Nikisema Nakupenda Namaanisha

Mapenzi sio Nguo Bidhaa ya Kujaribisha

Love ni Aset, Love sio Market

Love ni Private, Love sio Concet

Love ni magnet, Ku Connect

Kufanya updating na new Setting

Chorus:Zuchu

Romeo please make me your Juliet

Tufanye iwe easy tusi complicate

Oh my baby sweet chocolate

Romeo please make me your Juliet

HOOK

Romeo fix me course i’m broken mwenzako

Romeo teach me niwe mwanafunzi wako

Stay with me nishakupenda mwenzako

Ah, uwe wangu mi milele niwe wa kwako

Sijakupendea hela hela hela hela hela ‘I Appreciate Your Love Baby”

Nimekupenda msela msela msela msela msela “Wacha Nikupe Kila Kitu”

Sijakupendea hela hela hela hela hela ‘I Appreciate Your Love Baby”

Nimekupenda msela msela msela msela msela ” From My Heart, My Sol, My Body,

My Mind I Appreciate Your LOVE”

Chorus:Zuchu

Romeo please make me your Juliet

Tufanye iwe easy tusi complicate

Oh my baby sweet chocolate

Romeo please make me your Juliet

Verse:2 Darassa

Mi na wewe tuna connection

Jumping in the ocean

No second option

Kwako mimi no second option

Funga njia Penzi langu mbawa litapaa

Zima Taa Penzi langu Nyota litang’aa

Haliwezi kufubaa kuchaa au Kusinyaa

Penzi lina ng’alisha hata kama unapigwa Jua la Dar

Team sio Team bila Kocha

Na hata Simu sio Simu bila Vocha

Wodadadang wodadadang gang gang

Mahaba niuwe nishoot gurn BANG BANG

Chorus:Zuchu

Romeo please make me your Juliet

Tufanye iwe easy tusi complicate

Oh my baby sweet chocolate

Romeo please make me your Juliet

Bridge

Lala lala lalalala lalala ” I Appreciate Your Love Baby”

Lala lala lalalala lalala “Wacha Nikupe Kila Kitu”

Lala lala lalalala lalala ” I Appreciate Your Love Baby”

Lala lala lalalala lalala “From My Heart, My Sol, My Body, My Mind

I Appreciate Your LOVE”